1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

McCarthy ashindwa kupata kura za kuwa spika mpya Marekani

5 Januari 2023

Mkwamo uliopo katika kumchagua spika wa Baraza la Wawakilishi wa Marekani bila shaka utakuwa na athari katika uongozi wa chama cha Republican na bunge zima la nchi hiyo. Kwa sasa Warepublican wako njia panda baada ya kiongozi Kevin McCarthy kushindwa mara tano kupata kura za kutosha kuwa spika. Sikiliza mahojiano kati ya Jacob Safari na mchambuzi wa siasa za Marekani Professor Nicholas Boaz.

https://p.dw.com/p/4LmcG