1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yaomboleza kifo cha King Majuto

Isaac Gamba
9 Agosti 2018

Rais wa shirikisho la wasanii Samson Mwakifamba amezungumza na mwenzetu Isaac Gamba juu ya kifo cha msanii maarufu wa vichekesho Amri Athumani Majuto maarufu King Majuto. Sikiliza hapa.

https://p.dw.com/p/32smZ