1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kifo cha mfalme wa Pop, Michael Jackson

Sylvia Mwehozi
29 Agosti 2018

Mfalme wa muziki wa Pop duniani Michael Jackson aliyejulikana sana kwa aina yake ya uchezaji wa kujinyonga na mavazi yake, Agosti 29 angekuwa anatimiza miaka 60. Jackson alifariki dunia mwaka 2009 akiwa na miaka 50 kutokana na kuzidisha madawa. Papo kwa Papo 29.08.2018.

https://p.dw.com/p/33yXE