1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wajerumani wasikitishwa na kifo cha Kohl

Josephat Charo Nyiro17 Juni 2017

Bila shaka Wajerumani wana haki ya kusikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha Helmut Kohl, anasema Abdullah Salim Mzee, mkazi wa Potsdam, mji mkuu wa Ujerumani, katika maoni yake wakati wa mahojiano maalumu na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/2erSI