You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Macron akabiliwa na vita vikali vya udhibiti wa bunge
Muungano wa Macron wa Ensemble unakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa muungano mpya NUPES chini ya Melenchon
Mashahidi: Trump alimshinikiza Pence kubatilisha matokeo
Ushahidi ulitolewa unaonesha Donald Trump alimshinikiza makamu wake kubadili matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2020.
Kambi ya rais Macron yatwaa ushindi uchaguzi wa bunge
Wanasiasa wenye kuegemea mrengo wa kushoto wadai kura zao zilipunguzwa
Maoni: Boris Johnson avuka kura ya kutokuwa na imani naye.
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ni mtu mahiri katika kukanganya ukweli japo kwa vipindi vifupi.
Boris Johnson aponea kura ya kutokuwa na imani naye
Ni mapema mno kutabiri kitakachotokea baada ya kura ya leo
Wabunge wamegawika kuhusiana na Johnson
Wabunge wa chama tawala cha Kihafidhina nchini Uingereza wamegawika kuhusiana na iwapo Waziri Mkuu Boris Johnson anastah
Biden ataka silaha za mashambulizi zipigwe marufuku
Rais wa Marekani Joe Biden ametaka juhudi za kudhibiti matumizi ya bunduki zifanyike sasa.
Scholz atetea uamuzi wa kuipatia Ukraine silaha
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amelihutubia bunge la taifa na kutetea uamuzi wa Ujerumani wa kuipatia silaha Ukraine.
Hezbollah wapata pigo uchaguzi wa Bunge Lebanon
Vuguvugu la Hezbollah la Lebanon na washirika wake wamepata pigo baada kupoteza wingi wa viti bungeni.
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani yupo nchini Mali.
Baada ya kuzuru Mali Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock atakwenda nchini Niger.
Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan aondolewa madarakani
Upinzani ulishinda baada ya wabunge wapatao 174 kupiga kura ya kutokuwa na Imani na Imran Khan.
Wabunge Pakistan kupiga kura ya kutokuwa na imani na Khan
Wabunge Pakistan kupiga kura ya kutokuwa na imani na Khan
UN:Libya huenda ikawa na serikali mbili
Wito huo umetolewa na umoja wa mataifa baada ya Libya kushindwa kufanya uchaguzi wake wa mwezi Desemba.
Zelensky alihutubia bunge la Ujerumani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelihutubia Bunge la Ujerumani na kusema Urusi inajenga ukuta ndani ya Ulaya
Zelenskiy kulihutubia bunge la Marekani
Urusi imezidisha mashambulizi yake nchini Ukraine huku maroketi kadhaa yakiripotiwa katika eneo moja la makazi la Mji Mk
Waziri Mkuu wa Uingereza akaidi wito wa kujiuzulu
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alikaidi wito wa kujiuzulu
Roberta Metsola spika mpya wa Bunge la Ulaya, ni nani?
Mwanasiasa wa kihafidhina wa Malta, Roberta Metsola ndiye spika mpya wa Bunge la Ulaya. Anawasilisha nini?
Libya: Spika wa Bunge ataka kuwepo serikali mpya ya mpito
Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa ameelezea kwamba maalfu ya watu wanashikiliwa kinyume cha sheria nchini Libya.
Biden kuadhimisha mwaka mmoja tangu kuvamiwa Bunge Marekani
Biden kuadhimisha mwaka mmoja tangu kuvamiwa Bunge Marekani
Muswada wa Marekebisho Vyama vya Siasa Kenya kujadiliwa 2022
Kiongozi wa wengi bungeni nchini Kenya amemwandikia barua Spika kuomba kifanyike kikao maalum mwezi Januari.
Wajerumani wazidi kupinga vizuizi vya COVID-19
Kirusi cha omicron kimeendelea kuchochea maambukizi mapya kote ulimwenguni wakati mataifa yakihangaika kupambana nacho.
Olaf Scholz aidhinishwa kuwa Kansela wa Ujerumani
Olaf Scholz aidhinishwa na bunge kuwa Kansela wa Ujerumani
Bunge la Ujerumani laidhinisha sheria za kudhibiti corona
Janga la virusi vya Corona linatishia kuvuka viwango nchini Ujerumani na wodi za wagonjwa mahututi sasa zimeelemewa.
Baraza la seneti nchini Brazil lambana Bolsonaro
Brazil lilikuwa taifa la pili kwa idadi ya juu ya vifo vilivyotokana na janga la COVID- 19, ulimwenguni.
Kamati ya Bunge yataka rais Bolsonaro ashitakiwe
Kamati ya Bunge yataka rais wa Brazil ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Covid-19
Iraq yafanya uchaguzi wa bunge, usalama ukiimarishwa
Iraq yafanya uchaguzi wa bunge chini ya ulinzi mkali.
Waziri Mkuu mpya wa Japan Fumio Kishida aidhinishwa na bunge
Waziri Mkuu mpya wa Japan Fumio Kishida aidhinishwa na bunge
Qatar wapiga kura ya bunge
Qatar wapiga kura katika uchaguzi wa kwanza wa bunge, ikiwa ni ishara ya awali ya kufunguliwa milango ya demokrasia.
Wajerumani kupiga kura leo kuchagua bunge na Kansela
Wajerumani kupiga kura leo kuchagua bunge na Kansela
Chama cha Putin chaelekea ushindi uchaguzi wa bunge
Warusi wamepiga kura kwenye siku ya mwisho ya uchaguzi wa ubunge uliofanyika kwa siku tatu.
Warusi wapiga kura kuchagua bunge bila upinzani mkuu
Urusi imeanza zoezi la siku tatu la upigaji kura katika uchaguzi wa wawakilishi 450 wa bunge la Duma.
Ufaransa waidhinisha hati ya kudhibiti maambukizi
Wabunge wa Ufaransa waidhinisha hati maalumu kudhibiti maambukizi
Merkel ajibu maswali ya wabunge kwa mara ya mwisho
Mwanasiasa huyo mhafidhina ametawala siasa za Ujerumani kwa miaka 15, na hatowania tena uongozi katika uchaguzi ujao.
Wabunge wa Denmark wapitisha sheria ya kuomba hifadhi
Wabunge nchini Denmark wameidhinisha kuanzishwa kwa kituo cha kupokea wakimbizi katika nchi ya tatu
Mahasimu wa Netanyahu wakubaliana kuunda serikali
Viongozi wa upinzani nchini Israel wametangaza kufikia makubalino ya kuunda serikali mpya ya mseto.
Bunge la Ulaya lasimamisha makubaliano ya biashara na China
Bunge la Ulaya lasimamisha makubaliano ya uwekezaji na China baada ya Chna kuwawekea vikwazo maafisa wa Ulaya.
Nchi za Ulaya kutoa cheti cha Covid-19 kwa raia wake
Bunge la Ulaya na nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wamefikia makubaliano ya kutoa cheti cha Covid-19 ambacho kitatoa naf
Bunge la Somalia labatilisha nyongeza ya muhula wa Rais
Wabunge wa Somalia wamepiga kura kwa kauli moja kufuta nyongeza ya miaka miwili kwenye muhula wa rais.
Palestina yaahirisha uchaguzi wa Bunge
Rais wa mamlaka ya ndani ya Palestina Mahmoud Abbas ametangaza kuwa uchaguzi wa bunge umeahirishwa.
Wanajeshi wa Ujerumani kuendelea kuwepo nchini Afghanistan
Askari hao wamekuwapo nchini Afghanistan kwa muda wa miongo miwili. Jee uwepo wao umeleta manufaa yoyote?
Merkel alihutubia bunge baada ya kuondoa vizuizi vya Pasaka
Merkel alihutubia bunge baada ya kuondoa vizuizi vya Pasaka
Wabunge Ujerumani wajiuzulu baada ya kashfa ya barakoa
Wabunge watangaza kujizulu baada ya kashfa ya barakoa
Marekani:Baraza la Seneti lapitisha mpango wa kufufua uchumi
Fedha hizo ni kwa ajili ya kuwasaidia wafanyakazi na wafanyabiashara walioathiriwa na janga la corona.
Mbunge wa Ujerumani na kashfa ya rushwa manunuzi ya barakoa
Bunge la Ujerumani limepiga kura ya kumuondolea kinga ya mashtaka, mbunge wake huyo kutokana na tuhuma zinazomkabili.
Marekani: Baraza la seneti lamwondolea mashtaka Donald Trump
Maseneta 57 wakiwemo 7 kutoka chama cha Republican, walipiga kura ya kumtia Trump hatiani, 43 walipinga.
Baraza la wawakilishi lakamilisha hoja za kumshtaki Trump
Upande wa utetezi utaanza kuwasilisha hoja zake Ijumaa kupinga kushtakiwa kwa Trump
Baraza la Seneti lapiga kura kuendelea na kesi ya Trump
Maseneta wa Republican walitoa hoja kuwa kesi hiyo ni kinyume na katiba kwani Trump tayari ameondoka madarakani.
CCM yasema Rais Magufuli kutoongeza muda madarakani
CCM imesema wabunge wa Tanzania wana uhuru wa kueleza maoni yao kuhusu kuongeza muda wa kukaa madarakani Rais Magufuli.
Baraza la Seneti lapokea mashtaka dhidi ya Trump
Baraza la Wawakilishi la Marekani limewasilisha hati ya mashtaka mbele ya Seneti dhidi ya rais wa zamani Donald Trump.
Huenda wavamizi wa bunge walinuia kuwateka na kuwaua wabunge
Huenda wavamizi wa bunge walinuia kuwateka na kuwaua wabunge
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 13
Ukurasa unaofuatia