You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Maoni: Buhari aachie ngazi
Uvumi kuhusu afya ya rais wa Nigeria umesambaa hivi karibuni na inaelezwa anafanya kazi kutokea nyumbani.
Afrika yasaka fursa za kiuchumi kupitia kilimo
Wataalamu kukutana Durban kujadili njia za Afrika kufaidika na kilimo chake.
Boko Haram wapanga kuzishambulia Marekani, Uingereza
Watoto wamefanya mashambulizi 27 ndani ya miezi mitatu ya mwaka huu,walifanya mashambulizi kama hayo mara 30 mwaka jana.
China yaoongoza katika utoaji hukumu ya kifo duniani
Shirika la Amnesty International lasema China bado inoongoza duniani kote katika utoaji hukumu ya kifo.
Trump kuiuzia Nigeria ndege za kivita
Duru zinasema huenda mauzo hayo ya ndege za kivita yakaigharimu Nigeria dola milioni 600
Maisha ya Waafrika nchini India
Kuwa Mwafrika nchini India inamaanisha nini? Ndio mada ya Mohamed Dahman katika Mbiu ya Mnyonge kufuatia kuwekwa Youtube video yenye kuonyesha Wanigeria wawili wakipewa kipigo na kundi la watu waliojichukulia sheria mikononi mwao ambapo kila kilichopatikana kilitumika kama silaha ya kuwapigia ikiwa ni pamoja na nondo, matofali, viti vya chuma na mapipa ya taka.
Marais 10 waliofariki wakiwa madarakani
Maraiis 10 waliofariki dunia wakiwa madarakani kuanzia 2008 hadi 2014 kwa mauaji, magonjwa na maafa mbalimbali.
Mateka 455 wakombolewa na jeshi la Nigeria
Msemaji wa jeshi la Nigeria amethibitisha taarifa hiyo
UN yasema watu milioni 20 wako katika hatari ya kufa njaa
Zaidi ya watu milioni 20 Yemen, Sudan Kusini, Somalia na Nigeria wanakabiliwa na hatari ya kufa njaa
Buhari arudi Nigeria
Rais Buhari awasili Nigeria kutoka uingereza alipokuwa kwa matibabu
Ukweli kuhusu baa la njaa
Shirika la Chakula Duniani linasema watu zaidi ya milioni 20 wako hatarini ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo.
UNICEF: Njaa yatishia maisha ya watoto milioni 1.4
Nchini Sudan Kusini, zaidi ya watoto 270,000 wanakumbwa na utapiamlo
Mgomo wa madakitari Kenya na viwavi jeshi Magazetini
Mgomo wa madakitari Kenya na viwavi jeshi Magazetini
Hali ya afya ya rais Buhari nzuri
Wapiganaji 31 wa Boko Haram wajisalimisha Niger
Hatua hiyo inadhihirisha kudhoofika kundi hilo la wanamgambo wa itikadi kali wanaoitikisa Nigeria na nchi jirani
Watu sita wauawa Nigeria
Nigeria yazungumza na Boko Haram
Kiasi cha wasichana 270 walitekwa na Boko Haram mwezi Aprili 2014 kutoka skuli yao mjini Chibok, jimbo la Borno.
Mapigano ya kikabila yauwa 6 Nigeria
Kamishna wa polisi, Yunana Yakubu Babas, anasema ghasia hizo zimelazimisha mamia ya watu kukimbia makaazi yao.
EU na Mali wakubaliana kudhibiti uhamiaji
Miongoni mwa waliyokubaliana ni wahamiaji watakaofika katika fukwe za Ulaya watarejeshwa makwao
Matangazo ya Jioni 11.12.2016
Taarifa tulizokuletea jioni ya leo ni pamoja na: Waziri wa mambo ya nje wa Italia ateuliwa kuwa waziri mkuu mpya//Zaidi ya watu 100 wamekufa nchini Nigeria baada ya paa la kanisa moja kuanguka//Serikali ya Uturuki yatangaza maombolezo ya taifa baada ya watu kadhaa kuuwawa katika mashambulio ya mabomu
Vietnam yakamata kilo 500 za pembe za ndovu
Sehemu kubwa ya pembe za ndovu zinazoingia kwenye soko la Asia hutokea kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.
Soyinka achana kibali cha kuishi Marekani
Soyinka anasema hawezi kuishi kwenye nchi ambayo kiongozi wake anatoa hotuba kali za chuki dhidi ya wengine.
Buhari aagiza uchunguzi ripoti ya HRW
Makambi hayo yalihifadhi raia walioyakimbia makazi yao kutokana na vitisho vya kundi la Boko Haram.
Watoto 876 waachiwa huru kutoka kambi ya jeshi ya Giwa
Miongoni mwa watoto waliokuwa wakizuiliwa jela ni pamoja na wa umri wa miaka 5 na chini ya umri huo
Nigeria yamkamata msemaji wa Jonathan
Ufisadi kwenye masuala ya kuwashughulikia wapiganaji wa Boko Haram wamkamatisha msemaji wa Goodluck Jonathan.
Boko Haram limewaachilia huru wasichana 21 waliotekwa nyara
Waliachiliwa kama njia ya kubadilishana na wafungwa wanne wa Boko Haram walioachiliwa huru na serikali ya Nigeria.
Aliyevunja turathi Timbuktu ahukumiwa
Hukmu ya kuvunjwa turathi za tamaduni Timbuktu mjini The Hague Magazetini
Maisha katika eneo lililochafuliwa na mafuta
Nigeria ina hazina kubwa ya mafuta katika bara la Afrika ambayo husafirishwa duniani kote. Hata hivyo nchi hiyo haijaweza kuwaletea wakaazi wake hali bora ya maisha.
Watoto robo milioni wakabiliwa na utapiamlo Nigeria
Watoto Nchini Nigeria wanakabilia na Utapiamlo
Jeshi Nigeria katika vitisho vipya vya Boko Haram
Jeshi Nigeria katika vitisho vipya vya Boko Haram
Nigeria yamjeruhi Shekau Papo kwa Papo 23.08.2016
Jeshi la Nigeria lasema limemjeruhi vibaya kiongozi wa Boko Haram, Abubakar Shekau, Uturuki yashambulia waasi wa IS Syria, raia wa Mali mwenye itikadi kali ya Kiislamu akiri kuharibu majengo ya kale Timbuktu, Mali, na msajili wa vyama vya siasa Tanzania ataka CCM na CHADEMA wafanye mazungumzo.
Video mpya ya Chibok yasambazwa
Boko Haram yasambaza video mpya ya mateka wa Chibok, Waziri Steinmeier yupo ziarani Urusi, Rais wa zamani wa Zanzibar Aboud Jumbe azikiwa leo na leo ni miaka 20 tangu kuanza kutumika smartphone.
Boko Haram ina kiongozi mpya
Boko Haram imemtangaza Abu Musab al Barnawi kuwa kiongozi wake
UNICEF: Watoto 167 milioni wataishi katika umaskini 2030
Ripoti ya mwaka inaonyesha Watoto 167 milioni wataishi katika umaskini 2030
Rais Buhari: Mwaka mmoja madarakani
Unatimia mwaka mmoja tangu Rais Muhammadu Buhari aingie madarakani Nigeria
Papo kwa Papo
Jeshi la Misri limeyagundua mabaki ya ndege ya shirika la EgyptAir katika bahari ya Meditarrania, msichana wa pili Kati ya waliotekwa na Boko Haram mjini Chibok Nigeria akombolewa na jeshi la nchi hiyo, mwanasiasa wa upinzani DRC Moise Katumbi afunguliwa mashitaka, Taiwan yamuapisha rais wake wa kwanza mwanamke, na Pizza ndefu zaidi yenye urefu wa maili moja yatengenezwa Italia.
Msichana wa pili wa Chibok apatikana
Msichana wa pili mwanafunzi kutoka Chibok amepatikana, baada ya rais Buhari kukutana na mwanafunzi wa kwanza.
Mmoja wa wasichana wa Chibok apatikana
Mmoja wa wasichana waliotekwa nyara na Boko Haram amepatikana
Hollande: Boko Haram bado ni kitisho kikubwa
Rais wa Ufaransa Francois Hollande amesema kundi la Boko Haram linasalia kitisho cha usalama
Nigeria yaandaa mkutano kuijadili Boko Haram
Nigeria inakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa utakaojadili mapambano dhidi ya Boko Haram
Rais Buhari amjibu Cameron kuhusu rushwa
Buhari haina haja ya kumtaka Cameron kuomba radhi kuiita Nigeria kuwa nchi fisadi kabisa
Amnesty: Jeshi la Nigeria liliwaua raia 347
Shirika la Amnesty International limesema mara kwa mara jeshi la Nigeria limeshukiwa kukiuka haki za raia
Kuna matumaini wasichana wa Chibok wako hai
Video ya CNN imewaonyesha baadhi ya wanafunzi wa Chibok waliotekwa nyara miaka miwili iliyopita
HRW: Watoto Kaskazini mwa Nigeria wamekoseshwa elimu
Elimu Kaskazini mwa Nigeria yaathiriwa na Boko Haram
Chad yaandaa Uchaguzi Mkuu
Raia wa Chad wamepiga kura kumchagua Rais, huku rais Idriss Deby akiwania awamu ya tano
Kitandawili cha Boko Haram kimezungumziwa
Uturuki yalinyemelea bara la Afrika, kuna nini?
Mkenya ashamirisha migahawa Nigeria
Mwanamke mfanyabiashara kutoka Kenya, Nasra Ali anataka kuwahamasisha wanigeria kuipenda ladha ya kahawa yao, na anaazimia kuendeleza kilimo cha kahawa akishirikiana na wakulima Mashariki mwa nchi hiyo.
Ufanisi mdogo katika ushirikiano kati ya Boko Haram na IS
Hakuna ufanisi mkubwa unaoonekana katika ushirikiano kati ya Boko Haram na IS
Jeshi la Nigeria lauwa wapiganaji 26 wa Boko Haram
Boko Harama wauawa baada ya kuvamia kambi ya wakimbizi wa ndani
Bomu la kujitoa muhanga laua 58
Wanawake wawili wajitoa muhanga kwa kujipua bomu na kuua 58
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 19
Ukurasa unaofuatia