1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha ya Waafrika nchini India

Mohamed Karama Dahman6 Aprili 2017

Kuwa Mwafrika nchini India inamaanisha nini? Ndio mada ya Mohamed Dahman katika Mbiu ya Mnyonge kufuatia kuwekwa Youtube video yenye kuonyesha Wanigeria wawili wakipewa kipigo na kundi la watu waliojichukulia sheria mikononi mwao ambapo kila kilichopatikana kilitumika kama silaha ya kuwapigia ikiwa ni pamoja na nondo, matofali, viti vya chuma na mapipa ya taka.

https://p.dw.com/p/2anRj