You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Boko Haram washambulia tena Nigeria
Wanawake wawili wajitoa muhanga na kuwaua watu 58
Kenyatta na Buhari kushirikiana kupambana na ugaidi
Makubaliano hayo yameafikiwa kwenye mashauri kati ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Muhammadu Buhari wa Nigeria.
Dimba la CHAN kung'oa nanga Rwanda
Michuano ya kinyang'anyiro cha wachezaji wa barani Afrika CHAN inang'oa nanga nchini Rwanda
Buhari: Nigeria iko tayari kuzungumza na Boko Haram
Nigeria imejiandaa kuzungumza na Boko Haram, ili kuachiwa huru wanafunzi 209 wa kike wa Chibok
Nigeria: Vijana wanaoshindana na Google
Vijana wawili wa Nigeria wajitosa katika ulimwengu wa teknolojia na mawasiliano kwa kuunda App ya simu
Mtandao wa intaneti unabadilisha maisha ya watu mjini Lagos
Katika jiji la Lagos zaidi ya teksi 250 sasa zimewekwa mtandao wa intaneti
Changamoto nyingi kwa Rais Muhammadu Buhari
Jimbo la Biafra nchini Nigeria lataka kujitawala baada ya vita vya wenywe kwa wenyewe
Mashambulio ya Paris na Yola
Na ukewenza na faida zake
30 wauwawa Adamawa
Mlipuko wa bomu umewauwa watu 30 katika jimbo la Adamawa, Nigeria
Maisha katika eneo lililochafuliwa kwa mafuta
Nigeria ina hazina kubwa ya mafuta katika bara la Afrika ambayo husafirishwa duniani kote. Hata hivyo nchi hiyo haijaweza kuwaletea wakaazi wake hali bora ya maisha.
Miaka 20 tangu kunyongwa Ken Saro-Wiwa
Kumbukumbu ya miaka 20 tangu kifo cha mwanaharakati wa Ogoni, Ken Saro-Wiwa
Ushirikiano kati ya nchi za kusini
Mtawala wa zamani wa kijeshi Nigeria avaa kodi la kidemokrasi
Maoni: Ushindi wenye utata
Tanzania iko kwenye hatari baada ya matokeo kubatilishwa Zanzibar.
Buhari mbioni kutaja Baraza lake la Mawaziri
Buhari mbioni kutaja Baraza lake la Mawaziri
Rais Muhammadu Buhari kuongoza majukumu ya wizara ya mafuta
Rais Muhammadu Buhari kuongoza majukumu ya wizara ya mafuta
Buhari aiomba Ufaransa msaada dhidi ya Boko Haram
Buhari yuko Ufarassa kuomba masaada kupambana na Boko Haram
Nigeria: 'Smart taxis' of Lagos
Kawaida unaweza kuchungulia dirishani, ama ukasoma gazeti huku ukingoja mpaka ufike unapokwenda. Hivyo ndio wetu wengi wanavyoutumia muda wao wakiwa ndani ya teksi. Hata hivyo, katika jiji la Lagos Nigeria, zaidi ya teksi 250 sasa zimewekwa mtandao wa intaneti. Wateja wanaweza kuutumia huku wakiwa wamekwama katika foleni za magari.
Boko Haram wachinja 56 Nigeria
Tangu kuanza kwa uasi wa kundi hilo, watu elfu 20 wamepoteza maisha.
Ni siku 500 tangu kuchukuliwa mateka wasichana wa Chibok
Licha ya shinikizo zinazotolewa dhidi ya serikali, wasichana 219 bado hawajapatikana
Jeshi lawaokoa raia 178 kutoka kwa Boko Haram
Jeshi la Nigeria lawaokoa raia 178 kutoka kwa Boko Haram kaskazini mwa Nigeria
Jenerali Iliya Abbah kuongoza kikosi cha muungano
Kiongozi mpya ateuliwa wa kikosi cha kikanda dhidi ya Boko Haram na huku rais Buhari akutana na rais Biya kwa mazungumzo
Boko Haram yawaua zaidi ya watu 30 Nigeria
Kiasi ya watu 37 wameuawa na wengine zaidi ya mia moja wamejeruhiwa katika miripuko
Nigeria yamtimua kocha Stephen Keshi
Stephen Keshi ametimuliwa na Nigeria kufuatia madai kuwa anatafuta kazi ya kuifunza timu ya taifa ya Cote d'Ivoire
Buhari akutana na viongozi jirani
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari, leo amekutana na viongozi wenzake
Jeshi la Nigeria lashutumiwa na Amnesty International
Jeshi la Nigeria limeshutumiwa na Amnesty International kwa kufanya mauwaji ya zaidi ya watu 8,000
Nigeria yamuapisha rais mpya
Nigeria yamuapisha rais mpya
Rais mpya wa Nigeria Muhammadu Buhari aapishwa leo
Rais mpya wa Nigeria Muhammadu Buhari aapishwa leo
Wanawake wakombolewa Nigeria
Wanawake wakombolewa Nigeria
Maelfu wakimbia Niger wakiihofia Boko Haram
Malefu wakimbia Niger wakiihofia Boko Haram
Indonesia yawauwa wauza unga
Australia yamrejesha balozi wake nyumbani, Brazil yasema imeshtushwa, Mfilipino anusurika dakika za mwisho.
Dadaab yatakiwa ifungwe
Uchaguzi wa Nigeria
Chibok: Donda lisilopona Nigeria
Sasa ni mwaka mzima tangu Boko Haram wawateke nyara wasichana 276 wa Kinigeria huko Chibok na mwandishi wetu Jan-Phillip Scholz anasema leo ni siku ya kutia msumari mmoto kwenye donda bichi.
Makundi ya waasi yanatumia ghasia za kingono kusambaza hofu
Makundi ya waasi yanatumia ghasia za kingono kusambaza hofu
Wasichana wa Chibok: Mwaka mmoja utumwani
Ni mwaka mmoja sasa tangu wasichana yaidi ya 200 walipotekwa na Boko Haram huko Nigeria
Jonathan na fahari ya kushinwa kwa amani
Rais Goodluck Jonathan alikubali kushindwa bila kushinikizwa
Maoni: Changamoto kubwa zamsubiri Buhari
Ushindi wa demokrasia
Buhari asifu ustadi wa kiutawala wa Jonathan
Nigeria yasifiwa kwa ukomavu wa demokrasia.
Buhari ashinda uchaguzi wa rais Nigeria
Buhari ashinda uchaguzi wa rais Nigeria
Buhari ajitangaza mshindi Nigeria
Mgombea wa upinzani wa chama cha Progressives Congress APC amejitangaza mshindi wa uchaguzi wa rais nchini Nigeria akisema nchi hiyo inashuhudia historia.
Nani atakuwa rais mpya wa Nigeria?
Matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu nchini Nigeria yanasubiriwa lakini kiongozi wa upinzani Mohammadu Buhari anaongoza kwa zaidi ya kura milioni mbili ingawa matokeo ya ngome ya rais Goodluck Jonathan hayajatangazwa
Buhari anaongoza uchaguzi Nigeria
Buhari anaongoza uchaguzi Nigeria
Uchaguzi Nigeria; wananchi watakiwa kuwa watulivu
Uchaguzi Nigeria; wananchi watakiwa kuwa watulivu
Uchaguzi Nigeria waendelea baada ya matatizo ya teknolojia
Uchaguzi Nigeria waendelea baada ya matatizo ya teknolojia
Wanigeria wapiga kura kumchagua rais
Wanigeria wapiga kura kumchagua rais
Nigeria yajiandaa kuamua
Rais Goodluck ameelezea uwezekano wa chama chake kushindwa na upinzani.
Wagombea wa urais Nigeria wakubaliana kudumisha amani
Wagombea wa urais Nigeria wakubaliana kudumisha amani
Rais wa Nigeria asema Boko Haram itasambaratishwa
Rais wa Nigeria asema Boko Haram itasambaratishwa
Boko Haram walemewa
Nigeria yatumia mamluki
Boko Haram waendeleza mashambulizi kaskazini mwa Nigeria
Boko Haram waendeleza mashambulizi kaskazini mwa Nigeria
IS yakubaliana na kiapo cha utiifu cha Boko Haram
IS yakubaliana na kiapo cha utiifu cha Boko Haram
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 19
Ukurasa unaofuatia