You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Nishati jadidifu
Iwe vyanzo vya upepo, jua au maji, sekta ya nishati jadidifu inazidi kustawi duniani kote.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mataifa yajiandaa kwa COP23
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa kujadili tabia ya nchi utafanyika Bonn, Ujerumani. Huu ni mkutano wa 23 wa aina hii.
Uchafuzi wa mazingira ni hatari kuliko vita, maafa na njaa
Uchafuzi wa mazingira unaua watu wengi zaidi kila mwaka kuliko hata vita, maafa na baa la njaa.
Magazetini: Mjadala wa vyama vidogo vya kisiasa wafanyika
Pia mkutano wa kilele wa Berlin uliojadili athari zilizosabishwa na gesi chafu ya magari yanayotumia mafuta ya diseli.
Plastiki nchini Kenya: Kutoka biwi la takataka hadi tumboni
Takataka za mifuko ya plastiki zinaweza kujipenyeza katika vyakula bila kutarajiwa
Uhusiano wa wakimbizi na waturkana waimarika nchini Kenya
Mradi huu unalenga kuimarisha hali ya maisha ya wakimbizi katika kaunti ya Turkana kaskazini mwa Kenya
Uharibifu wa mazingira huenda ukaongezeka Brazil
Rais wa Brazil alaumiwa kwa kushinikiza sheria itakayowanufaisha wafanyibiashara na wapokonyaji ardhi msituni Amazon.
Uchafuzi wa Ziwa Tanganyika Burundi
Ziwa Tanganyika lililoko Afrika Mashariki ni ziwa lenye kina kirefu barani Afrika. Tanzania, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Zambia zinapakana na ziwa hilo. Katika Mtu na Mazingira Amida Issa anaangazia uchafuzi wa maji ya Ziwa Tanganyika nchini Burundi na juhudi za kusafisha.
G20: Marekani haitaki muafaka wa mazingira
muafaka katika G20 , bado Marekani yatengana na wengine
Mazingira mada tete mkutano wa G20
Mazingira yatarajiwa kupewa nafasi kubwa katika mkutano wa mataifa yenye nguvu ya kiuchumi G20 utakaofanyika Hamburg.
Siku ya kulinda mbuga Ulaya
Hifadhi za mbuga na maeneo asilia ya mazingira
Trump yauweka njiapanda mkutano wa mazingira
China yaelezea nia ya dhati kuulinda mkataba wa mazingira wa Paris
Biashara ya Ubani Somalia iko katika tishio
Uvunaji wa ubani wa kupitiliza unasababisha uharibifu wa misitu na mazingira.
Uchafuzi wa Ziwa Naivasha, Kenya
Ziwa Naivasha lipo katika eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya. Wakazi wa Naivasha na maeneo yanayozunguka wanalitumia kwa ajili ya uvuvi. Hata hivyo, mazingira ya ziwa hilo yanachafuliwa na shughuli za kibinadamu. Bernard Maranga anaangazia jambo hilo katika Mtu na Mazingira.
Miujiza ya mawingu
Wanasayansi wazindua kifaa kipya cha kipimo (atlasi) kufichua siri iliyoko kuhusu mawingu
Ziwa Tanganyika lakumbwa na athari za kimazingira
Shughuli za kibinadamu ni miongoni mwa kitisho chenye kuathiri ziwa hilo la pili kwa ukubwa Afrika.
Waziri wa mazingira Burundi auawa
Waziri Emmanuel Niyonkuru alishambuliwa na mtu asiyejulikana wakati ambapo alikuwa akielekea nyumbani
Matangazo ya Asubuhi 11.12.2016
Sikiliza makala za Mtu na Mazingira, Utamaduni na Sanaa, Afrika katika magazeti ya Ujerumani na kadhalika.
Trump ahimizwa kulinda mazingira
Viongozi wa siasa na biashara wamemtaka kutoindoa Marekani katika mkataba wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Paris.
Hatutamtegemea Trump ili kubadili mazingira
Viongozi wasema hawatomkubalia rais mteule wa Marekani Donald Trump kuvuruga mkataba wa tabia nchi
Uchaguzi wa Rais wahanikiza Magazetini
Uchaguzi wa rais wa Marekani,na mjadala wa rais Ujerumani Magazetini
Makubaliano kudhibiti gesi zenye kuchafuwa sana mazingira
Gesi zinazochafuwa sana mazingira kudhibitiwa
Wavuvi wanufaika kwa nishati ya jua
Kijiji cha wavuvi nchini Cape Verde ambacho hakiwezi kumudu gharama za barafu za kuhifadhia samaki, wamewkeza katika jokofu la nishati ya jua kukabiliana na tatizo lao.
Kuchomwa kwa misitu Indonesia
Ukataji na uunguzaji wa misitu Indonesia umesababisha vifo vya watu 100,000 na kuwatia maradhi wengine 500,000.
Waziri wa mazingira wa Ujerumani azuru Kenya
Waziri wa mazingira Ujerumani ziarani Afrika
Barbara Hendricks amesema Ujerumani inaichukulia Rwanda kama mshiriki muhimu kwenye suala la hifadhi ya mazingira.
Maisha katika eneo lililochafuliwa na mafuta
Nigeria ina hazina kubwa ya mafuta katika bara la Afrika ambayo husafirishwa duniani kote. Hata hivyo nchi hiyo haijaweza kuwaletea wakaazi wake hali bora ya maisha.
Umeme wa Jua, nishati mbadala Barani Afrika
Umeme wa Jua, nishati mbadala Barani Afrika
Mwandishi Chipukizi wa Mazingira nchini Tanzania
Katika mji wa Mwanza nchini Tanzania, Getrude Clement na wenzake wanacho kipindi cha redio cha Kila wiki, ambamo wanahamasisha vijana wenzao na jamii kwa ujumla kuwa rafiki wa mazingira, kwa kuyatunza na kuyasafisha. Vijana hao wana matumaini ya kubadilisha fikra za jamii kuhusu mazingira yao.
Uturuki yaelekea kwenye udikteta
Kamata kamata yatanda nchini Uturuki
Mataifa yaombwa kutekeleza mkataba wa Paris
Wanamazingira wakutana Bonn kuimarisha makubaliano ya Paris
Wanaharakati wa mazingira watunza fukwe za Msumbiji
Uchafuzi wa mazingira ni tatizo sugu kwa Msumbiji. Carlos Serra Junior ameamua kuchukua hatua
Wanaharakati wa mazingira watunza fukwe za Msumbiji
Kama ilivyo kwa nchi nyingi za kiafrika, uchafuzi wa mazingira ni tatizo sugu kwa Msumbiji. Athari za kukosekana mfumo mzuri wa ukusanyaji taka zinadhihirika kwenye pwani ya Mashariki ambako kuna mlundikano wa taka, nyingi zikiwa zile zilizotupwa na waliokuja kutembea. Mtaalamu wa sheria na mazingira Carlos Serra Junior ameamua kuchukua hatua.
Watoto Syria wanaishi katika mazingira magumu
Save the children linasema huenda watoto wakakumbwa na madhara ya muda mrefu kutokana na vita vinavyoendelea
Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi Paris
Mawaziri wa mataifa 195 wanawazisha misimamo ya nchi za kusini na za kaskazini ili kufikia makubaliano
Fabius kuwasilisha mswada mpya wa mazingira
Ufaransa itawasilisha leo rasimu ya mswada mpya wa mkataba wa kupunguza joto duniani
Mkutano wa mazingira Paris waingia wiki muhimu ya mwisho
Mazungumzo ya Umoja wa Mataifa ya mabadiliko ya tabia nchi yanaingia katika wiki yake ya mwishomuhimu kupata makubaliano
Misitu ihifadhiwe
Ukikata mti otesha mwengine-ndio kauli mbiu ya kuhifadhi mazingira
Rasimu ya Mpango wa Kuyalinda Mazingira Yapatikana Paris
Wataalamu waafiki rasimu ya mpango wa kudhibiti ongezeko la joto duniani
Mivutano yachomoza Mkutanoni
Mapendekezo kukabidhiwa Laurent Fabius hadi disemba 5
Afrika kupewa msaada wa kulinda mazingira
Nchi tajiri zimeahidi kuipatia Afrika fedha ili iweze kuendeleza nishati mbadala kwa nia ya kulinda tabia ya nchi.
Nani kubeba gharama za kulinda tabia ya nchi?
Wakati viongozi wa dunia wakijadiliana kwenye mkutano wa tabia ya nchi huko Paris, swali la gharama laonekana kuwa tete.
Tabia ya nchi inazidi kubadilika
Swali ni kama Afrika Mashariki imejiandaa kikamilifu kwani mvua kubwa zinanyesha na maeneo mengine yana joto kali.
Tabia ya nchi inazidi kubadilika
Shule moja Mali yapata umeme wa jua
Makan Tandina awakomboa wanafunzi na umeme wa nishati ya jua
Makan Tandina kutoka Mali analeta umeme katika shule
Nchi ya Afrika ya Magharibi ya Mali haizalishi umeme wa kutosha kusambaza kwa watu wote. Nchi hiyo inalazimika kununua umeme kutoka nchi jirani kama vile Ivory Coast. Nishati ya jua inaweza tu kuwa mkombozi wa Mali, ndiyo maana mhandisi mmoja kijana ana nia ya kuhakikisha mradi unafanikiwa hasa kwenye vijiji vya ndani ndani.
Maisha katika eneo lililochafuliwa kwa mafuta
Nigeria ina hazina kubwa ya mafuta katika bara la Afrika ambayo husafirishwa duniani kote. Hata hivyo nchi hiyo haijaweza kuwaletea wakaazi wake hali bora ya maisha.
Cameroon: Vigae vya barabara vya mifuko ya plastiki
Mchezaji soka wa zamani wa Cameroon ameanzisha mradi wa matumizi mapya ya mabaki ya plastiki. Roger Milla tayari ameshaweka jiwe la msingi mji mkuu wa Younde la kiwanda kitakachotengeneza mawe pamoja na bamba za kujengea njia za waendao kwa miguu kwa kutumia mchanganyo wa plastiki pamoja na mchanga.
Mwanamazingira aleta hewa safi Abidjan
Mwanaharakati wa mazingira aanzisha jitihada za kuboresha hali ya hewa mjini Abidjan.
Wanawake wanyarwanda waliowasha umeme wa jua kijijini kwao
Kundi la wanawake wanne nchini Rwanda limewasha umeme utokanao na nishati ya jua kwenye kijiji kizima mashariki ya nchi hiyo. Jiunge na Sylivanus Karemera kusikiliza makala ya 'Wanawake na Maendeleo'.
Mabadiliko ya tabia nchi mkutanoni
Mapambano dhidi ya itikadi kali na juhudi za amani Lybya yajadiliwa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 11
Ukurasa unaofuatia