1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchafuzi wa Ziwa Naivasha, Kenya

Bernard Maranga/M M T5 Aprili 2017

Ziwa Naivasha lipo katika eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya. Wakazi wa Naivasha na maeneo yanayozunguka wanalitumia kwa ajili ya uvuvi. Hata hivyo, mazingira ya ziwa hilo yanachafuliwa na shughuli za kibinadamu. Bernard Maranga anaangazia jambo hilo katika Mtu na Mazingira.

https://p.dw.com/p/2ajMZ
Mazingira ya Ziwa Naivasha
Mazingira ya Ziwa NaivashaPicha: DW/B. Maranga
Wavuvi katika Ziwa Naivasha
Wavuvi katika Ziwa Naivasha Picha: DW/B. Maranga
Samaki waliovuliwa kutoka kwenye Ziwa Naivasha
Samaki waliovuliwa kutoka kwenye Ziwa NaivashaPicha: DW/B. Maranga