1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, maandamano ndio suluhu ya matatizo yanayoizonga nchi?

18 Julai 2023

Upinzani nchini Kenya umekuwa ukifanya maandamano ya kila wiki kuishinikiza serikali ya Rais William Ruto kupunguza gharama ya maisha. Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga ameeleza kuwa wakati mwingi maandamano hufanyika kwa njia ya amani japo ghasia hutokea wakati polisi inapoingilia kati kwa kurusha gesi ya kutoa machozi.

https://p.dw.com/p/4U5kO