1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema kuwasilisha mashtaka dhidi ya Kamishna wa Polisi Tanzania

14 Agosti 2024

Viongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema wamesema wanatarajia kuwafikisha mahakamani msajili wa vyama vya siasa Tanzania Sisty Nyahoza na Kamishna wa polisi Tanzania Awadh Juma Haji kwa kile walichosema ni vitendo vya kikatili walivyofanyiwa mapema wiki hii.

https://p.dw.com/p/4jSyv