1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkasa wa kuporomoka kwa jaa la taka, Kampala

14 Agosti 2024

Miili ya watu 24 imeopolewa tangu kulipotokea mkasa wa kuporomoka kwa jaa la taka katika mtaa mmoja jijini Kampala, Uganda mwishoni mwa wiki. Lakini wakaazi wanasema kuna maiti nyingi bado zimekwama chini ya taka hizo.

https://p.dw.com/p/4jSLD