1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msanii aliyejitosa kutetea haki za Maalbino

16 Agosti 2024

Mutalemwa Jason kwa jina la kisanii Mc Nash kutokea Tanzania ni msanii wa muziki wa kufokafoka au Hip Hop. Ametumia jukwaa hilo kuchangia mageuzi ya jamii yake. Nash anapambana kuzima vitendo vya ukatili, mauaji na utekaji nchini Tanzania. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4jZ3D