1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema yalaani kukamatwa viongozi wake wakuu

12 Agosti 2024

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimeitaka serikali kuwachia mara moja viongozi wake wakuu wanaoshikiliwa akiwemo mwenyekiti Freeman Mbowe, makamu mwenyekiti Tundu Lissu na Katibu Mkuu John Mnyika. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4jO8h