1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika 2023: Changamoto, demokrasia, usalama na mambo muhimu ya kiuchumi

31 Desemba 2023

Tunapouaga 2023, Afrika ilishuhudia matukio muhimu katika safari yake ya kidemokrasia, huku ikikabiliana na changamoto katika amani, usalama na utulivu lakini pia changamoto za kiuchumi. Jiunge nasi kuangazia matukio makubwa yaliyotokea katika bara zima.

https://p.dw.com/p/4ai2N