Etienne Tshisekedi alitumia sehemu kubwa ya maisha yake katika siasa, kwanza kama mshirika aliegeuka kuwa adui wa dikteta Mobut Sese Seko, na kisha kama hasimu wa himaya ya kina Kabila ya Laurent na Joseph Kabila.