1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wiki ya unyonyeshaji: Elimu yazidi kutolewa kwa jamii?

1 Agosti 2023

Wiki ya unyoneshaji maziwa ya mama imeanza, tathmini ya wataalamu wa afya inaonesha uelewa juu ya dhana ya unyonyeshaji inazidi kutamalaki kwenye jamii, huku akina mama na wenza wao wakizingatia unyonyeshaji wenye tija.

https://p.dw.com/p/4UeFr