1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakulima Ujerumani wagoma wafunga barabara

8 Januari 2024

Serikali ya Ujerumani inataka kufuta ruzuku ya dizeli ya kilimo katika hatua tatu. Wakulima wanapigana dhidi ya hatua hiyo. Lakini maandamano hayaungwi mkono na kila mtu.

https://p.dw.com/p/4b06S