1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Tugutuke: Vijana na uchaguzi, DRC

Mitima Delachance17 Machi 2023

Ungana na Mitima Delanchance kwenye makala ya Vijana Tugutuke, ambapo safari hii anakutana na vijana kujadiliana juu ya ushiriki wao kwenye mchakato wa uchaguzi huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wana mengi vijana wa huko, tafadhali pata muda kidogo wa kuwasikiliza.

https://p.dw.com/p/4OqcM