1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhaba wa wafanyakazi wenye ujuzi Ujerumani

Angela Mdungu16 Julai 2024

Mji wa Mittweida, unakabiliwa na uhaba wa nguvu kazi na una uhitaji mkubwa wa wafanyakazi wenye ujuzi katika kila sekta. Sikiliza hapa makala ya Sura ya Ujerumani kufahamu jinsi mji huo unavyokabiliana na changamoto hii.

https://p.dw.com/p/4iNcb