1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya mtoto wa Afrika na mitandao ya kijamii

16 Juni 2023

Leo ni siku ya mtoto wa Afrika na kauli mbiu ikigusa masuala ya dijitali, fursa na usalama wa mtoto katika ulimwengu wa mitandao. Je watoto wameandaliwa ipasavyo kukabiliana na changamoto zitazojitokeza hasa kwenye mitandao ya kijamii?

https://p.dw.com/p/4Sgpc