1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini kinafuata kufuatia malumbano kati ya Tshisekedi na Kagame?

Jacob Bomani5 Desemba 2022

Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo amejibu matamshi makali na mazito ambayo si ya kidiplomasia yaliyotolewa na ya rais wa Rwanda Paul Kagame wiki iliyopita. Afisa wa shirika la Kimataifa la mizozo la International Crisis Group ICG, Onesphore Sematumba kutoka Goma alizungumza na mwenzetu Jacob Safari kuhusiana na vuta nikuvute hii.

https://p.dw.com/p/4KTpo