1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroUlaya

Kwanini wageni wanalengwa katika vurugu za nchini Uingereza?

7 Agosti 2024

Kwa muda wa wiki kadhaa sasa, Uingereza inakabiliwa na maandamano makubwa ya vurugu ambayo yalichochewa na mauaji ya wasichana watatu. Lakini sasa maandamano hayo yamegeuka kuwa ya kuwapinga wageni na kudhihirisha chuki dhidi ya Waislamu. Bakari Ubena amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa Ahmed Rajab kujua chanzo cha hilo.

https://p.dw.com/p/4jDMg