1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, kanda ya mashariki ya kati imetumbukia kwenye vita kamili?

26 Agosti 2024

Kufuatia makabiliano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon la Hezbollah, Bakari Ubena amezungumza na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa na kumuuliza ikiwa makabiliano hayo yanamaanisha kuwa eneo la Mashariki ya Kati tayari limeingia kwenye vita vikubwa zaidi vya kikanda?

https://p.dw.com/p/4jwH8