1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mombasa na mwezi wa Ramadhani

12 Aprili 2023

Ingawa mji wa Mombasa umepitia mabadiliko mengi lakini kisichobadilika ni utamaduni wake tajiri wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kuanzia aina tofauti za vyakula na vinywaji na mambo mengine kedekede. Unataka kujua zaidi kinachofanyika huko wakati huu? Ungana na mwenzetu Fathiya Omar kwenye video hii akikutembeza katika mji huo wa Pwani.#Kurunzi

https://p.dw.com/p/4Pxb3