1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mke wa marehemu Kibao atoa ya moyoni

Sudi Mnette9 Septemba 2024

DW Kiswahili imepata fursa ya kuzungumza na mke wa kada wa CHADEMA, Ali Kibao aliyetekwa Septemba 6 akiwa katika basi la abiria la Tashrif lililokuwa likielekea mkoani Tanga kutokea Dar es Salaam na kupatikana Septemba 8 akiwa amefariki kwenye eneo la Tegeta, Ununio, jijini Dar es Salaam. Msikilize alipozungumza na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/4kQxz