1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, hali ya usalama kwa wanafunzi ikoje nchini Kenya?

6 Septemba 2024

Maswali mengi yanaulizwa juu hali ya usalama wa wanafunzi wakiwa mashuleni nchini Kenya kufuatia mkasa wa moto katika shule ya msingi ya Hillside Endarasha iliyoko kaunti ya Nyeri. Rashid Chilumba amezungumza na Dkt. Emmanuel Manyasa, Mkurugenzi wa Shirika la Usawa Agenda linalopigania ubora wa elimu na ustawi wa wanafunzi juu ya mazingira jumla ya usalama kwenye shule nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/4kNOx