1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Catherine Wanjeri adai maisha yake yako hatarini

6 Septemba 2024

Masuala ya usalama wa waandishi wa habari yameibuka tena nchini Kenya baada ya mwandishi wa habari wa kampuni ya Mediamax, Catherine Wanjeri Kariuki, ambaye mwezi Julai mwaka huu inaaminika alipigwa risasi tatu pajani na afisa wa polisi, kudai kwamba maisha yake yako hatarini. Mwandishi wetu Wakio Mbogho amezungumza na mwandishi huyo juu ya vitisho vya maisha anavyopokea.

https://p.dw.com/p/4kNNA