1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matumizi ya akili ya kubuni katika sekta ya afya Ujerumani

1 Februari 2024

Hospitali ya Saarbrücken nchini Ujerumani inatumia teknolojia ya akili ya kubuni katika kufanya upasuaji. Madaktari wanasema wanatumia teknolojia hiyo kabla na wakati wa kufanya upasuaji na kwamba ina ufanisi mkubwa. Je, teknolojia akili ya kubuni italeta mapinduzi katika sekta ya afya?

https://p.dw.com/p/4bwK1