You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Picha: Zoonar/picture alliance
Picha: Zoonar/picture alliance
Makala zetu
Sikiliza makala kemkem tulizokuandalia
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Upi umuhimu wa kusaini makubaliano ya mali kati ya wanandoa?
Vijana Mubashara inajadili iwapo kuna umuhimu wowote ule wa kusaini makubaliano kuhusu umiliki wa mali kati ya mke na mume kabla au wakati wa kufunga ndoa.
Mbunifu wa teknolojia ya kutengeneza mafuta ya dizeli
Hussen Ndekeja ni kijana wa kitanzania mbunifu wa teknolojia ya kutengeneza mafuta ya dizeli kwa kutumia taka za plastiki zinazokusanywa katika mazingira mbalimbali. Kupitia ubunifu huo amepata nafasi ya kuwafundisha vijana wenzake ambao waliibuka washindi katika mashindano ya ubunifu kwa vijana,yalioandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Tanzania.
App ya Sauti Kitabu kutunza simulizi za kale na za kisasa
App ya Sauti Kitabu itazinduliwa hivi karibuni na itapatikana bure katika duka la mtandaoni la Google.
Je, kuzungumzia mapenzi bado ni mwiko katika jamii?
Wazazi wengi wanaona ugumu kuzungumzia juu ya suala la mapenzi japo vijana wa kileo hukutana na maudhui hizo mitandaoni.
Kinagaubaga - Hatma ya ACT Wazalendo serikali ya Zanzibar
Sudi Mnette amezungumza na mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo kuhusu hatma yao ndani ya serikali ya Zanzibar.
Meza ya Duara - Je, ulimwengu umeshindwa kumaliza migogoro?
Zainab Aziz amewaalika wachambuzi wa siasa za kimataifa kwenye kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara kuhusu migogoro.
Je, mataifa ya Magharibi yanaweza kuchukua hatua gani zaidi dhidi ya Urusi?
Wakati uvamizi wa Urusi nchini Ukraine ukikaribia kutimiza miaka miwili, mataifa ya magharibi yamekuwa yakitatizika juu ya mbinu gani wazitumie ili kukabiliana na Moscow. Marekani na washirika wake wa Magharibi wamekuwa wakizidisha vikwazo dhidi ya Urusi lakini vimeonekana kutofikia jumla ya malengo yake. Ungana na Bakari Ubena katika kipindi hiki cha Mwangaza wa Ulaya kufahamu turufu zilizosalia.
Kinagaubaga: Tanzania kuwaadhibu wanaotumia vibaya mitandao
Baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania Dokta Philip Mpango kujitokeza hadharani baada ya taribani mwezi mmoja na kuonesha kusikitishwa kwake kwa kuzushiwa kifo mitandaoni. Waziri wa Habari wa Tanzania, Nape Nnauye aliziagiza mamlaka kufanya uchunguzi kwa wote waliosambaza uzushi kwenye mitandao ya kijamii. Sudi Mnette alizungumza nae.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 4
Ukurasa unaofuatia