1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Je, kuzungumzia mapenzi bado ni mwiko katika jamii?

8 Januari 2024

Suala la kuzungumzia mapenzi katika jamii nyingi za Kiafrika linaonekana kama ni mwiko na kwamba ule uhuru wa kuelezea suala hilo ni kama umebinywa. Katika Vijana Mubashara 77 Asilimia, Suleiman Mwiru anaangazia umuhimu wa wazazi kuwapa muongozo vijana kuhusu jinsi ya kupunguza baadhi ya vitendo vya karaha ambavyo vinaweza kutokea kutokana na ukosefu wa elimu hii.

https://p.dw.com/p/4az0c