1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiJamhuri ya Kongo

Mafuriko yaharibu miundombinu ya barabara Kongo- Burundi

Hawa Bihoga
29 Machi 2024

Mvua zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo nchini Kongo yamesababisha mafuriko na kuharibu miundombinu ya barabara inayounganisha nchi mbili kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi na kuleta adha kwa watuamiaji wa barabara.

https://p.dw.com/p/4eG9D