1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

Kamala Harris amteua Tim Walz kuwa mgombea mwenza

6 Agosti 2024

Mgombea wa urais wa chama cha Democratic nchini Marekani Kamala Harris amteua Gavana wa Minnesota Tim Walz kuwa mgombea mwenza. Tim Walz ni nani hasa? Tizama video hii fupi kumfahamu na kile alichokipigania hadi kupata fursa hiyo. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4jBJE