You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Maandamano Kenya
Kombe la EURO 2024 Ujerumani
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
11.07.2024
11 Julai 2024
UN: Wanajeshi 3,000-4,000 wa Rwanda walipelekwa Kongo
10.07.2024
10 Julai 2024
Uganda yakanusha madai ya kulisaidia kundi la M23
10.07.2024
10 Julai 2024
Mjumbe wa UM kwa Kongo atahadharisha kutanuka kwa mzozo
08.07.2024
8 Julai 2024
UN yathibitisha kuwa jeshi la Rwanda linashirikiana na M23
03.07.2024
3 Julai 2024
UN yalaani shambulizi dhidi ya shirika la kiutu Kongo
02.07.2024
2 Julai 2024
Mamlaka za afya Uganda zatahadharisha juu ya homa ya nyani
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Waasi wa M23 wakanusha kushirikiana na jeshi la Rwanda
Waasi wa M23 wakanusha kushirikiana na jeshi la Rwanda
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 wameweka chini mtutu wa bunduki ili kupisha misaada ya kiutu kuingia katika maeneo yanayoshuhudia mapigano makali. Hatua hii inafanyika katika wakati ambapo Rwanda inashutumiwa kupeleka vikosi vyake kupigana mashariki mwa Kongo, je Kigali inaunga mkonoM23?. Katika kinagaubaga sikilize msemaji wa M23
UN yaishtumu Uganda kuwasaidia waasi wa M23
UN yaishtumu Uganda kuwasaidia waasi wa M23
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imelilaumu jeshi la Uganda kuwaunga mkono waasi wa M23 Mashariki mwa Kongo, Uganda yakanusha.
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wasitisha kuondoka Kongo
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wasitisha kuondoka Kongo
Ujumbe wa UN wa kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo utasitisha kwa muda kuondoka nchini humo.
Uganda yakanusha shutma za kuiunga mkono M23
Uganda yakanusha shutma za kuiunga mkono M23
Miongoni mwa shutuma kwa Uganda ni kuwaruhusu waasi wa M23 na vikosi vya Rwanda kuitumia ardhi yake kuivamia Kongo
Vita kusitishwa kwa muda mashariki mwa Kongo
Vita kusitishwa kwa muda mashariki mwa Kongo
Ulanguzi wa binadamu unatokana na migogoro na watu kuyakimbia makazi yao katika eneo la mashariki mwa Kongo.
Waasi wa M23 waendelea kukamata miji muhimu ya Kongo
Waasi wa M23 waendelea kukamata miji muhimu ya Kongo
Mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unasababisha maelfu ya watu kukimbia maskani zao.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Muelekeo mpya wa waasi wa M23 utawafikisha wapi?
Mwishoni mwa wiki, waasi wa M23 walichukua udhibiti wa miji ya Kanyabayonga na Kirumba.
Biashara Uganda zaathirika na maandamano ya Kenya
Athari hii inashuhudiwa hata kwa watu wa kawaida ambao walikuwa na shughuli kati ya nchi hizo mbili na usafiri.
Mbinu zinazotumiwa kutokomeza Malaria Uganda
Miongoni mwa mbinu zinazotumiwa na Uganda ni mpango wa kunyunyiza viwatilifu vya kuangamiza mbu wanaoeneza Malaria.
Paul Kagame: Shujaa au Dikteta?
Kagame humwagiwa sifa kama mwokozi aliyemaliza mauaji ya kimbari lakini wengine wanamchukulia kama kiongozi katili.
Afrika Mashariki inaweza kuwa na viwango sawa vya kodi?
Bunge la EALA limepitisha muswada wa kusawazisha sheria za kodi na ushuru lakini kuna mashaka ikiwa utaridhiwa.
Uganda yapinga kuondolewa AGOA
Hii ina maana kuwa Uganda imepoteza soko la bidhaa zake mbalimbali ikiwemo zile za vitu vya sanaa, viungo na ngozi.
Maudhui yote (2608) kwenye mada hii