1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muelekeo mpya wa waasi wa M23 utawafikisha wapi?

1 Julai 2024

Waasi wa M23 wanasonga mbele kwa sasa katika uwanja wa mapambano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku wakiendelea kuyadhibiti baadhi ya maeneo ikiwemo miji ya Kanyabayonga na Kirumba. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa masuala ya usalama Didier Bitaki akiwa mjini Kinshasa kuhusu muelekeo mpya wa waasi hao.

https://p.dw.com/p/4hjO4