1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Safari za viongozi wa Ulaya nchini China zina maana gani?

12 Aprili 2023

Hivi karibuni viongozi kadhaa wamefanya ziara nchini China ikiwemo safari ya Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron iliyofuatiliwa kwa karibu sana. Bruce Amani amezungumza na Mohammed Abdulrahman mchambuzi wa siasa za kimataifa na kumuuliza ziara hizi nyingi za viongozi wa Ulaya China hasa kwa wakati huu ni za nini?

https://p.dw.com/p/4Pxrh