1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheria inasemaje polisi Tanzania kukamata bila mashtaka?

15 Julai 2024

Jeshi la polisi nchini Tanzania limetoa taarifa za kumshikilia mtu aliyefahamika kwa jina la Kombo Mbwana, ambaye alitoweka kwa siku 29 sasa. Matukio ya watu kushikiliwa bila kufunguliwa mashtaka yanaendelea kuripotiwa nchini Tanzania. Bakari Ubena amezungumza na Wakili katika Mahakama Kuu ya Tanzania Bashir Yakub kuhusu sheria inavyosema nchini humo.

https://p.dw.com/p/4iIm0