1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uteuzi wa baraza jipya Kenya utatuliza joto la maandamano?

19 Julai 2024

Rais wa Kenya William Ruto ametangaza mawaziri 11 kati ya 22 katika baraza lake jipya la mawaziri. Akihutubia taifa, kiongozi huyo ameeleza kuwa idadi ya mawaziri waliosalia itatangazwa wiki ijayo. Hata hivyo, mawaziri sita waliotimuliwa wiki iliyopita, wameteuliwa tena. Babu Abdalla amezungumza na mchambuzi wa siasa kutoka Nairobi Herman Manyora kujua uamuzi huo wa Rais Ruto ulivyopokelewa.

https://p.dw.com/p/4iWT6