You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanajeshi 15 wauwa na Boko Haram
Wanajeshi 15 wauwa na Boko Haram
Amnesty yazikosoa serikali kushindwa kuwalinda raia duniani
Amnesty yazikosoa serikali kushindwa kuwalinda raia duniani
Boko Haram yauwa watu 38 Nigeria
Boko Haram yauwa watu 38 Nigeria
Olusegun Obasanjo ajiondoa kutoka chama tawala Nigeria
Olusegun Obasanjo ajiondoa kutoka chama tawala Nigeria
Jeshi la Niger kwenda Nigeria
Jeshi la Niger kwenda Nigeria
Niger yachagua vita dhidi ya Boko Haram
Bunge la Niger limeamua kujiunga na mapambano dhidi ya Boko Haram
uchaguzi nigeria
uchaguzi nigeria
Uchaguzi wa rais wacheleweshwa Nigeria,
Marekani yavunjwa moyo
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika juu ya juhudi za kupambana na magaidi wa Boko Haram na juu ya mpango wa tajiri Bill Gates wa kuwasaidia masikini
Mkutano wa Yaunde
Mataifa jirani na Nigeria yahimizwa yawajibike haraka
Boko Haram wakabiliwa na Chad
Boko Haram wakabiliwa na Chad
Maoni: Afrika yapiga hatua
Viongozi wa Umoja wa Afrika wamemaliza mkutano wao. Ludger Schadomsky wa DW anakosoa kuchaguliwa na mkongwe Robert Mugabe kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo lakini anasema pia mkutano umeleta mafanikio.
AU yaidhinisha kikosi dhidi ya Boko Haram
AU yaidhinisha kikosi dhidi ya Boko Haram
Umoja wa Ulaya hautatuma waangalizi wa uchaguzi kaskazini mwa Nigeria
Mkuu wa ujumbe wa waangalizi Umoja wa Ulaya nchini Nigeria amesema hawatawapeleka maafisa wao katika eneo la kaskazini mashariki mwa taifa hilo kutokana na kitisho cha mashambulizi ya Boko Haram
Ni tamko la kwanza rasmi kutolewa na Baraza
Viongozi wakutana Niamey kupanga mkakati wa kijeshi
Boko Haram yawateka nyara watu 80 Cameroon
Boko Haram yawateka nyara watu 80 Cameroon
Chad kutuma wanajeshi Cameroon kupambana na Boko Haram
Rais wa Cameroon Paul Biya ametangaza kuwa Chad itatuma kikosi kikubwa cha wanajeshi nchini mwake kusaidia katika mapambano dhidi ya wanamgambo wa kundi la Boko Haram
Uchaguzi wa Nigeria wachochea mashambulizi
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema uchaguzi mkuu ujao nchini Nigeria ni suala linalochangia kuongezeka pakubwa mashambulizi yanayofanywa na kundi la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria.
Boko Haram yazidi kuhangaisha Nigeria
Mashambulio yanayofanywa na wanamgambo wa kundi la Boko Haram Kaskazini mwa Nigeria huenda yameua mamia ya watu katika takriban maeneo 11,kwa mujibu wa taarifa za maafisa nchini humo
Shell kuwafidia Wanigeria dola milioni 84
Kampuni ya Shell italipa fidia ya dola milioni 84 kufuatia kuvuja kwa mabomba ya mafuta nchini Nigeria, hatua inayoweza kufungua njia ya kufidiwa hasara zinazosababishwa na kampuni za mafuta duniani.
Cameroon yawashambulia Boko Haram
Kwa mara ya kwanza, jeshi la anga nchini Cameroon limeshambulia maeneo yanayotumiwa na kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya wanamgambo hao kuiteka kambi moja ya kijeshi.
Mashambulizi zaidi nchini Nigeria
Miripuko miwili ya mabomu katika majimbo mawili ya Nigeria imesababisha vifo vya watu 26 huku watu wengine 79 wakijeruhiwa. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa maafisa wa uokozi na maafisa wa afya nchini humo.
Viongozi wa ECOWAS waazimia kuikabili Ebola
Viongozi wakuu wa mataifa ya Afrika Magharibi waliokutana mjini Abuja Nigeria siku ya Jumatatu, wameazimia kukabiliana na matatizo mengi yanayoikabili kanda hiyo, yakiwemo Ebola na usalama.
Boko Haram yaushambulia mji wa Damaturu
Miripuko na milio ya risasi imeukumba mji wa Damaturu kaskazini mwa Nigeria hii leo katika shambulizi linaloaminika kufanywa na waasi wa Boko Haram linalowalenga polisi.
Rais wa Nigeria kuwaandama wahusika wa mashambulizi ya msikiti
Rais Gooluck Jonathan wa Nigeria ameapa kuwasaka wahusika wa mashambulizi ambayo yameuwa takriban watu 120 katika miskiti wa kiongozi wa Kiislamu aliyetowa wito wa kupambana dhidi ya Boko Haram.
Watu 45 wauwawa,Wabunge wapigwa mabomu ya machozi Nigeria
Kiasi cha watu 45 wameuawa kwenye eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria kutokana na mashambulizi ya Boko Haram, huku polisi kwenye mji mkuu Abuja ikitumia gesi ya machozi kuwazuia wabunge kuhudhuria kikao cha bunge
Idadi ndogo ya Watoto kuimarisha Uchumi
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na idadi ya watu duniani limesema kuwepo kwa idadi ndogo ya watoto kutasababisha maajabu ya kiuchumi katika mataifa ya Kusini mwa jangwa la Sahara
Nigeria yatolewa Kombe la Mataifa ya Afrika
Nigeria haitopata fursa ya kutetea ubingwa wake wa Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kutoka sare mabao 2-2 na Afrika Kusini katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika.
Wawekezaji wapuuza changamoto za Afrika
Mripuko wa Ebola, ugaidi na machafuko ya kisiasa, ni baadhi ya mambo yanayogonga vichwa vya habari Afrika katika kipindi cha mwaka mmoja hali ambayo huenda ikatia doa hadithi ya kutia moyo kuhusu mafanikio ya bara hilo
Rais Jonathan kugombea uchaguzi mwakani
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan, leo ametangaza rasmi nia yake ya kuwania kiti cha urais kwa muhula mwingine wa pili, katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Februari mwaka ujao wa 2015.
Steinmeier ahimiza hatua kali dhidi ya Boko Haram
Ujerumani imedhamiria kuwashughulikia zaidi wahanga wa mashambulio ya Boko Haram.Amesema hayo waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier akiwa zirani Nigeria.
Nigeria yadai imefikia makubaliano na Boko Haram
Maafisa na wanaharakati wanaofanya kampeni wamesubiri kwa shauku kubwa leo Jumamosi kupata taarifa zaidi juu ya hatima ya zaidi ya wasichana wa shule 200 waliotekwa nyara.
Nigeria yamtimua Stephen Keshi
Mabingwa watetezi Nigeria wameonekana kuyumbayumba katika safari ya kutetea kombe hilo, na ndio maana wakaamua kumtimua kocha Stephen Keshi. Nafasi yake imechukuliwa kwa muda na Shaibu Amodu
Wako wapi wasichana waliotekwa na Boko Haram?
Miezi sita imeshapita tangu wanafunzi wa kike zaidi ya 200 walipotekwa nyara na wanamgamo wa itikadi kali ya Kiislamu wa Boko Haram huko Chibok nchini Nigeria.
Viongozi wa kikanda waimarisha vita dhidi ya Boko Haram
Viongozi wa Niger, Nigeria, Chad na Benin wametangaza mipango ya kuimarisha vita dhidi ya wanamgambo wa kundi la itikadi kali za kiislamu – Boko Haram kwa kuunda kikosi maalum cha jeshi pamoja
Kiongozi wa Boko Haram auwawa Nigeria
Jeshi la Nigeria limedai kumuua kiongozi wa kundi la itikadi kali la Boko Haram, Abubakar Shekau, kama ikithibitika itakuwa hatua kubwa kwenye juhudi za jeshi hilo kulishinda kundi hilo la kigaidi la Nigeria
Amnesty International yashutumu mateso nchini Nigeria
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty Internationala limeitolea mwito serikali ya Nigeria kupinga utesaji kwa kukitangaza kitendo hicho kuwa uhalifu.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika kuhusu madai yaliyotolewa juu ya walinda amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia kwamba askari hao wanawadhalilisha wanawake kingono.Na pia yameandika juu ya Boko Haram
Je, Afrika iko tayari kuushinda ugaidi?
Licha ya viongozi wa Kiafrika kukutana jijini Nairobi kuzungumzia mikakati ya kupambana na ugaidi, wasiwasi uliopo ni ikiwa kweli Afrika iko tayari kukabiliana na tatizo hili la kimataifa.
UNICEF yatoa ripoti ya udhalilishaji kwa watoto
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeguandua kwamba, kando na kuwepo watoto wa kike takriban milioni 120 ulimwenguni mmoja kati ya kumi wanabakwa au kudhalilishwa kingono hadi wakati wanapofikia miaka 20.
Maelfu waikimbia Boko Haram
Tishio la wanamgambo hao limewafanya maelfu wayakimbie makaazi yao eneo la Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Raia wa Nigeria wanailaumu serikali kwa kutokuchukua hatua madhubuti kupambana na kundi hilo.
Ebola
Wiki hii magazeti ya Ujerumani yameandika juu ya matumaini ya kumshinda adui Ebola, na juu ya hatari inayotokana na uhaba wa maji katika nchi zinazoendelea ikiwa pamoja na barani Afrika.
220814 Nigeria Boko Haram
Mapambano ya kutaka kuwakomboa wasichana wa shule waliotekwa na Boko Haram yanaendelea sambamba na mapambano dhidi ya ugaidi kaskazini mwa Nigeria. Serikali inakabiliwa na shinikizo.
Wanajeshi wa Nigeria wakimbilia Cameroon
Kundi la Boko Haram hapo jana limeuvamia mji mmoja wa mpakani kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuwalazimu wakaazi na wanajeshi kutoroka na kuingia katika nchi jirani ya Cameroon wakiwemo wanajeshi
Boko Haram yatangaza utawala wa Kiislamu
Kiongozi wa Boko Haram ameanzisha utawala wa Kiislam katika mji wa kaskazini mashariki mwa Nigeria uliotekwa na waasi mapema mwezi huu wakati ikiripotiwa polisi 35 wa Nigeria hawajulikani walipo.
Liberia yatangaza amri ya kutotoka nje usiku
Tangazo hilo la Jumanne (19.08.2014) ni jitihada za kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola. Umoja wa Mataifa unamtuma mjumbe wake Afrika Magharibi kusaidia utoaji wa huduma za afya.
Zaidi ya watu 1,200 wamekufa kwa Ebola
Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema zaidi ya watu 1,200 wamekufa katika mataifa ya Afrika Magharibi kutokana na ugonjwa hatari wa Ebola, tangu ulipozuka mwezi Disemba mwaka uliopita.
Kenya kupiga marufuku wasafiri kutoka Afrika magharibi
Kenya imekuwa moja kati ya nchi zilizochukua hatua ya kupiga marufuku wasafiri kutoka maeneo yaliyoathirika na ugonjwa wa Ebola katika Afrika magharibi na Nigeria yachukua hatua kuzuwia kusambaa kwa ugonjwa huo.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Janga la ugonjwa hatari wa Ebola latawala kurasa za magazeti ya Ujerumani wiki hii. Hujuma za Boko Haram nchini Nigeria, kiisho cha ugaidi Kenya na wimbi la wakimbizi Uhispania ni miongoni mwa mambo yaliripotiwa pia.
Vituo vya wagonjwa wa Ebola vinajaa haraka
Shirika la Afya Duniani-WHO, limesema vituo vya afya vilivyofunguliwa kwa ajili ya kuwatibu wagonjwa wa Ebola eneo la Afrika Magharibi, vinajaa haraka na hivyo kuzifanya sekta za afya katika ukanda huo kuzidiwa nguvu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 13 wa 19
Ukurasa unaofuatia