1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiCameroon

Wanaharakati Cameroon wapewa tuzo ya Afrika-Ujerumani 2023

1 Desemba 2023

Tuzo ya Afrika ya Ujerumani 2023 inatambua kazi ya wanawake wa Cameroon walio mstari wa mbele kupigania amani na haki za wanawake katika jamii zao. Sally Mboumien anawakilisha Kongamano la Kitaifa la Amani la Wanawake nchini Cameroon katika kuwawezesha wanawake wanaokumbwa na matatizo ya kiuchumi, usawa wa kijinsia na migogoro.

https://p.dw.com/p/4Zgp0