1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vurumai ya waandamanaji vijana yautikisa mji mkuu wa Kenya

27 Juni 2024

Mamia kwa maelfu ya vijana wamevamia majengo ya bunge la taifa mjini Nairobi, Kenya katika mfululizo wa maandamano ya kupinga muswada wa fedha 2024.

https://p.dw.com/p/4hU5t