1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanafunzi wasimamishwa masomo kwa kuharibu picha ya Rais

Josephat Charo21 Juni 2016

Vuguvugu la kimya kimya linasambaa katika shule za Burundi ambako mamia ya wanafunzi wamesimamishwa masomo yao katika wiki za hivi karibuni kwa kuchafua picha za rais Pierre Nkurunziza kwenye vitabu vinavyotumika katika masomo nchini humo.

https://p.dw.com/p/1JAZb