1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroIsrael

Uchambuzi: Mwaka mmoja tangu mashambulizi ya Oktoba 7

mohammed khelef7 Oktoba 2024

Ni mwaka mmoja tangu mashambulizi ya Hamas dhidi ya Israel na kisha Israel nayo kuanza mashambulizi makali kwenye Ukanda wa Gaza ambayo hadi sasa yamewaua zaidi ya watu 41,000 kwenye Ukanda huo. Mohammed Khelef anazungumza na mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Ahmed Rajab, akiwa mjini London, Uingereza, na kwanza alimuuliza mwaka huu mmoja umemaanisha nini kwa pande zote mbili za mzozo huu?

https://p.dw.com/p/4lUYy