1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Migogoro

Waandamanaji waongeza shinikizo kumtaka Rais Ruto ajiuzulu

16 Julai 2024

Mamia ya vijana waliteremka mitaani kwenye miji kadhaa ya Kenya kuandaamana kumshinikiza Rais William Ruto kujiuzulu. Polisi ilitumia mabomu ya machozi kukabiliana na waandamanaji na taarifa zinasema mtu mmoja ameuawa.

https://p.dw.com/p/4iNsX