1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waandamanaji Kenya ´wamkalia kooni´ Ruto

27 Juni 2024

Siku moja baada ya Rais William Ruto wa Kenya kutangaza kuuondoa Muswada wa Fedha 2024 uliozusha hasira nchini humo, waandamanaji walirejea mitaani. Mara hii wanamtaka kiongozi huyo ajiuzulu.

https://p.dw.com/p/4hbKP