1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Tugutuke: Fursa za vijana kwenye ujasiriamali

Salma Mkalibala17 Februari 2023

Leo katika kipindi hiki cha Vijana Tugutuke, mwenzetu Salma Mkalibala anaungana na vijana wengine kujadili namna ambavyo vijana wanazichangamkia fursa za ujasiriamali, lakini si hilo tu, bali pia watazungumzia changamoto wanazokutana nazo vijana hawa katika kuzipata fursa hizo na hata kuzitumia kwa ajili ya maendeleo yao. Ingia hapa kuwasikiliza zaidi.

https://p.dw.com/p/4Ne1A