1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala Yetu Leo: Kilimo na ufugaji Kenya

Shisia Wasilwa
4 Julai 2024

Kilimo na ufugaji ni vyanzo vikuu vya uchumi katika kaunti nyingi za Kenya, hususan Narok, Nakuru, Baringo, na Nyahururu. Maeneo haya yamebarikiwa na hali nzuri za hewa na udongo wenye rutuba, unaofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali na ufugaji wa mifugo. Sikiliza makala ya Shisia Wasilwa.

https://p.dw.com/p/4hsuE