1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na Uongozi: Ashiriki juhudi za kuimarisha utalii

ANUARY MKAMA22 Juni 2023

Makala ya Vijana na Uongozi, inamuangalia Amos Asajile aliyebadili mtazamo wa watu katika maeneo mengi ya asili na utamaduni Mbeya hususan Rungwe kutoka kuogopeka kwa imani za kishirikina hadi kuwa sehemu ya kuvutia watalii ndani na nje ya nchi

https://p.dw.com/p/4Sx2b