1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Kunguru azua balaa Burundi

26 Julai 2024

Pamoja na kukuelimisha burudani la Karibuni limesheni uhondo wa kimataifa,unaoanzia kwenye kona ya mgeni wa wiki tuliko mkaribisha mwanamuziki wa Rhumba la kisasa kutoka Bongo, Le General Al Pachinno,akiwa ametowa kibao kipyaaa kabisa mjini kinachokwenda kwa jina ''Sikuachi'' na kama haitoshi utasikia juu ya imani za watu wa Burundi kuhusu Kunguru. Ana nini? Jimwae mkekani,na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4imyo